Kama alizinunulia hapo njiani unajuaje?? Ukaenda kabisa kabisa kuzihesabu?? Ilikuwaje?? Kama alizianika huenda anatumiaga kwa muda ndo afue na siku anaondoka ndo ilikuwa ya kufua

Mimi sikumbuki ata tofauti ya chupi za kike na kiume, nina boksa zangu 3, zinapeana zamu wiki moja mpk mbili kabla ya kufuliwa na kupewa likizo fupi ya wiki 2.