Tumuombe CCM wamkatae na huyo
Ili ukawa wamchukue kuongeza nguvu kuingia ikulu??
Hata kwa hekima ya kawaida tu ukijiuliza, zile mashine ziko networked, data zote za mpiga kura ziko kwenye database, kweli CCM waanze kutafuta namba za mpiga kura majumbani wakati wanaweza tu kuprint details zote kutoka kwenye database. Hebu tukae chini tutafakari vitu vingine. Tusumbue akili kidogo tu.
Hizo ni mbinu za kundi fulani linalotaka kuchafua tu hali ya hewa na kutafuta sympathy na visingizio tu.
Uwezo wa kufikiri wa hawa ukawa ni mdogo sana. yaan wapo kama nyumbu. akili zao hazijui kufikiri vizuri.

Hawakuwa wanakusanya tu data bali waliwaambia lengo lao ni kuwapatia mkopo. Data za mpiga kura zinasaidiaje kwenye mikopo?
Hata kwa hekima ya kawaida tu ukijiuliza, zile mashine ziko networked, data zote za mpiga kura ziko kwenye database, kweli CCM waanze kutafuta namba za mpiga kura majumbani wakati wanaweza tu kuprint details zote kutoka kwenye database. Hebu tukae chini tutafakari vitu vingine. Tusumbue akili kidogo tu.
Hizo ni mbinu za kundi fulani linalotaka kuchafua tu hali ya hewa na kutafuta sympathy na visingizio tu.
Sijalisikia hilo hata kama walitaka kutoa mikopo, hujui kama kadi ya mpiga kura ni kitambulisho pia? Huoni kuwa hao waliokuwa wanazitaka aidha walikuwa innocent au walikuwa watu fulani wasio na access na mfumo wa kiserikali? Huyo inawezekana ametumika tu kama ni kweli kwa sababu watu wengi tu wanaweza kutumia hivyo vitambulisho kwa mambo mengi tu ya kihalifu. Mfano, mtu akitumia namba yako ya kitambulisho, akaunda kitambulisho feki kwa taarifa zako, si atakuwa amepata utambulisho mpya usio na kumbukumbu ya makosa aliyowahi kufanya nchini au nje endapo atakuwa ni mgeni?
Sasa narudia tena kusema kuwa, hata kama huyo mtu aliekamatwa alikuwa wa kutiliwa shaka, bado ni upuuzi kuihusisha serikali ya CCM kwa sababu hizo taarifa wana uwezo wa kuzipata kwa njia nyingine na si kwa kupita nyumba kwa nyumba kwani ziko kwenye mfumo wa mafaili ya kielektroniki yaliyo na central unit.