Aiseeeee! Cheki mambo ya JK 2010 - 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aiseeeee! Cheki mambo ya JK 2010 - 2015

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mwanamayu, Oct 29, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Stesheni ya treni ya Tabora
  [​IMG]


  Stesheni ya treni Mwanza
  [​IMG]


  Nyerere Road railway crossing
  [​IMG]


  Ubungo mataa
  [​IMG]  Tegeta - Ubungo
  [​IMG]

  Source: Google image, 2010.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  mmmhhhhhhhhhhh!
  Haya bana. fahari ya macho!
   
 3. J

  Jafar JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Day dreaming
   
 4. T

  Tata JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,732
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Utopia. Hili linchi haliwezi kamwe kuendelea chini ya mfumo wa utawala wa CCM.
   
 5. E

  ESCO Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Kwa mapato yetu Tanzania na matumizi yake huku asilimia 30 tu ndio tumaweka kwenye miradi ya maendeleo, tutafikia huko baada ya miaka 500. Tafakari
   
 6. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kusadikika ya bongo hiyo
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,625
  Likes Received: 4,728
  Trophy Points: 280
  Angekuwa na maono sahihi na kusimamia vema raslimali tulizowekewa na Mungu katika nchi yetu mbona haya yanawezekana tu!!! Tatizo yeye amejikita kwenye anasa na ushirikina , hii itabaki kuwa ndoto ya mchana kwake na wabongo wote mpaka CCM iondoke madarakani
   
 8. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata 0.001% ya hiyo hawezi fanyika kwa JK
   
 9. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Mwanamayu,

  You made my day.
   
 10. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ndoto ya mchana. kwasasa hivi Algeria wanafanya jambo hili na linawagarimu trillion za kitz kama25 hivi, mara ngapi ya bajeti ya tz hiyo? kikwete anaitaji kupumzika.
   
 11. b

  boybsema Senior Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kwa JK labda viini macho vya yule mtabiri wake wa nyota, atugeuze macho tuone daladala ndio hayo mambo!!!
  Mwenyewe aliulizwa kule UINGEREZA kwa nini TANZANIA ni maskini wakati inarasilimali kibao...akajibu, MWENYEWE SIJUI!!!!
  HAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAAAAAAAAAAAAAAAAAA, pOLE KWERE, JK
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Day dreaming
   
 13. n

  ngoko JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mmmhh! hii ni ndoto . labda kwa wenye kusubiri mpaka kuona basi mpeni nafasi ili hii ndoto izidi kuwa ndoto.
   
 14. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nilipoona tu hizo treni nilijua kuwa hapo itakuwa Ujerumani. Na hiyo treni stesheni (picha ya tatu) ni Berlin na ndo treni steshen kubwa kuliko zote duniani. Ukifika pale utafikiri uko uwanja wa ndege na wame-diverge mto kujenga stesheni hiyo amabyo ilifunguliwa rasmi mwaka 2006 (kama sikosei). Treni zinapita juu na chini we acha kabisa. jamaa wako mbali mno. With Dr. Slaa tutaanza kuelekea huko.
   
 15. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  bravozzzzzzzzzzzzzzzzz!
   
 16. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  i wish
   
 17. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ndoto za alinacha
   
 18. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ndisi pamo!!!
   
 19. p

  p53 JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  wageni wengi wangekuja kujilipulia bongo
   
Loading...