Siasa ni aina ya uwendawazimu,sio ajabu huyu alipewa hiyo t-shirt akaipa ccm kura 2005 na hapo alikuwa kwenye mkutano ktk campaign za 2010 akiwa kapewa tsh5,000/-,we mtu miaka minne yote umevaa kw budget yako hujawahi kwenda mtupu ila mtu anakuja anakupa t-shirt na kofia umpigie kura na unakubali.mkuu Tanzania tuna safari ndefu sana.