Aiseee usiombe kuumwa jino usiku

Aiseee usiombe kuumwa jino usiku

Kutoa jino si mpaka Daktar akupe ushauri wa kulitoa au jino likiuma ni kwenda hospital na kumwambia Daktar alitoe?
Atakupa ushauri wa kuliziba tuu, miye nilikataa nikaomba litolewe tuuu.
 
Kuna mjomba wangu aliumwa jino ,watu wakamshauri aling'oe ,kwa ubishi wake akadai analizimisha kwa Konyagi tu.Saa 7 usiku tunashangaa mtu kasimama dirishani analia,eti mimi wa kufa tu leo huku kilio kinafuata na hilo neno mimi ntakufa tu leo.Kufika saa 11 usubuhi mtu hayumo ndani kumbe kanyoosha mwenyewe hospitali ya wilaya.
 
Wadudu washaingia kwenye neva za fahamu
 
Back
Top Bottom