Aiseee usiombe kuumwa jino usiku

Aiseee usiombe kuumwa jino usiku

Liliniuma jino niliamka usiku kutafuta hospital zinazotoa meno usiku kwa Arusha sikupata nikarudi kulala nilipata dawa ya kutuliza maumivu lakini wapi nikaongeza na Panadol extra nikaashangaa naamka asubuhi lipo sawa hakuna maumivu mpaka leo naona lipo kimya huku likisumbua naenda hospital maana hapa Johannesburg utachagua uende ukalitoe wapi muda wowote wapo kazini..
 
Niliwahi kwenda hospital 12 asubuhi hata kufungua bado na usafi hawajafanya, sitokuja kusahau jino ni balaa sana
 
Back
Top Bottom