Aiseee. Tafadhali usifungua kama una presha. Picha inatisha

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
6,970
13,580
FB_IMG_1483046827211.jpg
 
Huku kwetu Mozambique ni vitu vya kawada tu.Hapo lazma walibishana kwenye mambo ya hela.Hawa mashefy kwenye hela hawataki maelezo! huna ndo kama hivyo! na hapo huyo jamaa c kwmba atabadilisha mawazo,,,! Thubutu.
poleni lkn hvyo sio vtu vya kawaida unless ww ndo huyo shefy..
 
Ingelikuwa askari (jeshi) mzungu hapo Waafrika tungelalamika kwa ubaguzi lakini mweusi mwenziwe tunacheka tu. Na kuidharau haki ya huyu binaadamu kwa haya mazila anayotendewa na jeshi huyu.:mad:
 
picha haitishi, nilijua sijui mtu anakula simba labda
Hivi hiyo picha haitishi kweli? Unamkunja binadamu mwenzio Ka nzinga?
zoezi dogo sana hilo, hata mimi naweza
Zoezi gani unafungwa kamba Ka mpira wa kichangani????
Yaani mi najua kitu cha kutisha kumbe hayo mazoezi ya tambi
Hivi hayo ni mazoezi au adhabu?????
Huku kwetu Mozambique ni vitu vya kawada tu.Hapo lazma walibishana kwenye mambo ya hela.Hawa mashefy kwenye hela hawataki maelezo! huna ndo kama hivyo! na hapo huyo jamaa c kwmba atabadilisha mawazo,,,! Thubutu.
Basi ujue ubinadamu ushawatoka. Mahakama zipo, if necessary mpelekeni mahakamani
 
Hii picha inanikumbusha mbali sana! Niliwahi kupata demu wa kibangubangu pale Maderha,tatizo muda ule lugha yao ilikuwa bado sijaisoma vzr,Asbh jamaa hapo wee....!
 
Rais wa sasa wa Bongo ameikunja nchi kama huyo jamaa alivyo kunjwa. Angekuwa mtu mweupe tungepiga kelele eti ukoloni umeeudi, ila kwa kuwa ni mweusi tunavumilia kama tunavyo vumilia picha hii!!!
 
Rais wa sasa wa Bongo ameikunja nchi kama huyo jamaa alivyo kunjwa. Angekuwa mtu mweupe tungepiga kelele eti ukoloni umeeudi, ila kwa kuwa ni mweusi tunavumilia kama tunavyo vumilia picha hii!!!
Ukoloni
 
Back
Top Bottom