Aisee..........

We Safari_ni_Safari hizi sio zile mapolisi wakizikamata zinapotea katika mazingira ya kutatanisha zikiwa katika mikono ya polisi?
 
Last edited by a moderator:
Kuondoa utata mjini hapa wakazi wa mstaafu Anord Uswaz Niga tulipiga kura ili ndumu iruhusiwe lakini mambo yalikwenda vibaya
 
Ma phantom.
Ku roll hiyo kitu nayo ina starehe yake.
Always my best part of the process.
 
Hivi wana JF,me naomba kuuliza,polisi wanapokamataga hizi vitu wanasema ni kwa ajili ya ushahidi,baada ya hapo vinapelekwa wapi? naomba anayejua tafadhali atujuze.
 
Hivi wana JF,me naomba kuuliza,polisi wanapokamataga hizi vitu wanasema ni kwa ajili ya ushahidi,baada ya hapo vinapelekwa wapi? naomba anayejua tafadhali atujuze.

Wanazivuta au kuziuza.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…