DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,311 Reaction score 109,525 Feb 14, 2023 #21 Yaani Ni Patashika nguo kuchanika, Wengine mahaba Yao wamehamishia kwenye kubeti na timu za mipira Hawa nao Sijui tuwaweke kundi gan[emoji1787] Sent using JamiiForums mobile app
Yaani Ni Patashika nguo kuchanika, Wengine mahaba Yao wamehamishia kwenye kubeti na timu za mipira Hawa nao Sijui tuwaweke kundi gan[emoji1787] Sent using JamiiForums mobile app
Walisamaki Senior Member Joined Nov 28, 2022 Posts 199 Reaction score 326 Feb 14, 2023 #22 Hahaaa sawa kijana we endelea kuchonga sana iyo penseli
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,570 Reaction score 72,561 Feb 14, 2023 #23 Hakuna hata Amarula huko mtaani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,487 Reaction score 195,290 Feb 14, 2023 #24 Za kuambiwa changanya na za kwako...
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,626 Reaction score 16,385 Feb 14, 2023 #25 Mkuu wewe huna hela,acha kulialia. Kama ungekua nazo hakuna tym ya kuwaza huyu wa 2000,huyu ana 30.. Tafuta hela
Mkuu wewe huna hela,acha kulialia. Kama ungekua nazo hakuna tym ya kuwaza huyu wa 2000,huyu ana 30.. Tafuta hela