DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,199
Mchuano ni mkalihata saa sita bado😀😀
Kwanza umekunywa chai?Tuache kujidanganya hawa watoto wa 2000 wapo mtaani tani kwa tani.
Aisee kwa huu muda unachagua mwenyewe unywe kinywaji gani; Balimi au Safari Lager au Castlel au K Vant.
Kijana kataa ndoa maana wanwake wa 30 wanataka ligi na watoto wadogo wa miaka 2000, it pains na inafikirisha.
Mtatuita majina yote.
Na wewe Ni wa elf mbiliKuna mtu atakufa hapa
wewe si ndio unajifanya penseli yako itaki kichongeo.ukifa tunakuwekea gunzi sehemu ya ajaTuache kujidanganya hawa watoto wa 2000 wapo mtaani tani kwa tani.
Aisee kwa huu muda unachagua mwenyewe unywe kinywaji gani; Balimi au Safari Lager au Castlel au K Vant.
Kijana kataa ndoa maana wanwake wa 30 wanataka ligi na watoto wadogo wa miaka 2000, it pains na inafikirisha.
Mtatuita majina yote.
Na wewe Ni wa elf mbili
Chuchu sa sita au magumashiNdiyo mkuu
Chuchu sa sita au magumashi