Aisee! Kumbe Dar kuna matajiri mashoga

siku hz gay huwezi kuwajua maana wengine ni waume za watu wameoa na wanawatoto lakini kumbe sio riziki
 
Unaeza fikiri alitaka umpgige ndogo kumbe we ndo ungemegwa!
 
Pole sana. Nadhani hadi saa hii unasisimka mwili wote. Nachotamani kuuliza, je kimaumbile umemzidi nguvu au uliwezaje tu kuchomoka.
Najiulizaga, ikinitokea nitamuua au nitatokaje hapo tu. Mola aniepushe kwani nadhani siku hiyo, lazima mmoja kati yangu na yeye angelazwa hospital au morge.
 
Hawa watu wapo na wanakuwaga na mihemko ya juu sana..kuna mmoja nilikuwa nae ofisi moja alikuwa hachagui mpaka walinzi na wapiga debe. Mungu atuepushie kwakweli...msidharau kabisa hii thread hawa jamaa wakipata hamu hawana haya kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…