hivyo hivyo mzee baba‘Windwork’ ndo Windhoek??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hivyo hivyo mzee baba
Kuna huyu mdada nimempata siku ukiamua kumtoa out!!Hata
nauli ya kufika eneo la tukio hana!!!Ila
utashangaa akifika hapo unamwambia agiza
kinywaji,utasikia nakunywa Savana!!!Henken!!!
Windwork!!!Desperado!!!Sasa unajiuliza mtu
ambaye hata nauli tu hana hayo mavinywaji ya
gharama huwa anakunywa wapi???Ukimwambia
agiza chakula duuu hapo ni balaaa!!!!Nataka kuku
mzima na chipsi mayai!!!Mara mshikaki ya hapa
siyo mizuri Utadhani hivyo ndo vyakula
vyake vya kila siku!!!!Wakati mtu mwenyewe
kwake kila siku anakula visivyoeleweka na
akibeua sasa Hiyo harufu yake unaweza
ukadhani anatenda ya kuhifadhi mayai viza
tumboni !!!akitaka kuondoka anaomba hela ya
nauli!!!Unampa bado atakupiga mzinga ooh
naomba Hela kwa ajili ya UPATU !!!
Amrudishe alipomtia ili iweje?Siku ya kwanza bora uwe muwazi ule unywe ufurahie na umrudishe ulipomtia sasa ulizani kuita umeita wewe halafu usigharamie
UlipomtoaAmrudishe alipomtia ili iweje?
ndo hapo sasa..hizi tabia za kulalamika hadi chakul Ujue mtu ni bahiliSasa bro ulitaka aagize makande na maji ya kandoro anayoshindia kila siku kwao?.
No offense meant but traditionally (Yani kwa utamaduni huu huu tulioiga wa kutoana out), a gentleman would normally show up at the lady's house with transportation means. Yani inatakiwa asigharamike kukutana na wewe. Hiyo inaensure heshima na kuwa valued if at all the relationship is going to last. Hii ya tukutane sehemu fulani ni uhuni tu, so ukifanyiwa uhuni usilalamike since its where you stand.Kuna huyu mdada nimempata siku ukiamua kumtoa out!!Hata
nauli ya kufika eneo la tukio hana!!!Ila
utashangaa akifika hapo unamwambia agiza
kinywaji,utasikia nakunywa Savana!!!Henken!!!
Windwork!!!Desperado!!!Sasa unajiuliza mtu
ambaye hata nauli tu hana hayo mavinywaji ya
gharama huwa anakunywa wapi???Ukimwambia
agiza chakula duuu hapo ni balaaa!!!!Nataka kuku
mzima na chipsi mayai!!!Mara mshikaki ya hapa
siyo mizuri Utadhani hivyo ndo vyakula
vyake vya kila siku!!!!Wakati mtu mwenyewe
kwake kila siku anakula visivyoeleweka na
akibeua sasa Hiyo harufu yake unaweza
ukadhani anatenda ya kuhifadhi mayai viza
tumboni !!!akitaka kuondoka anaomba hela ya
nauli!!!Unampa bado atakupiga mzinga ooh
naomba Hela kwa ajili ya UPATU !!!
hapo mwenzake ndo mda wa kula vinono ili asahau kipolo cha ugali kilicholiwa na chai asubuhi, alafu yeye anataka ambanie.ndo hapo sasa..hizi tabia za kulalamika hadi chakul Ujue mtu ni bahili
haha ndo hapo sasa...out ni kula vinonohapo mwenzake ndo mda wa kula vinono ili asahau kipolo cha ugali kilicholiwa na chai asubuhi, alafu yeye anataka ambanie.