Nimekuja aisee ila kibiashara zaidi,
nauza; mbege,mikate,matrekta,vifaa vya baiskel,maandazi,supu,wali,pilau,vifaa vya pikipiki,sukari,mchele,nyama ya kitimoto,sabuni,maharage,sambusa,karanga,vifaa vya ujenzi,kondomu,
pia ninaziba pancha za baiskeli,magari pikipiki,ninaosha magari na pikipiki,pia mm ni wakala wa voda,airtel,tigo na zantel.
KARIBUNI MNIUNGISHE AISEE!
Mkuu mbona kama tangazo vile..!Nimekuja aisee ila kibiashara zaidi,