issam
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 250
- 23
Hellow wadau, mimi nilikua mmoja wa wapenzi wa kuchat kwenye ule mtandao wa drchat, wale jamaa sijui wamekufia wapi aisee, tulikua tunaburudika sana mule. kwa wale ambao wameimiss darchat kama mimi BOFYA HAPA kuna chat nyengine imefunguliwa.