Aisee!! Hivi hii mbegu nitaipata wapi

mbegu ya mtu si mpaka unanihiwe au unaninilii.... sasa wewe unataka unanilihiwe au unanilii
 
Hilo ni rahisi tu, nenda Sudani tafuta hao watu halafu mwambie akupe shahawa zake kwenye chupa halafu nenda lab wanazifanyia kazi na kuzipandikiza kwako, baada ya miezi 9 una mtoto wa Kinubi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…