Aisee hata simba wenyewe wamebaki wanashangaa🤣🤣

Mwamba huwa ni mchokozi sana, yeye mda wote anataka ligi hata kwa kulazimisha😀
 
Ngiri ni wanyama wenye fujo siku zote... akili zao wanazijua wenyewe...


Cc: Mahondaw
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…