farasi akiwa anamalizia kukata roho azima arushe sana mateke mkuu....ndo wanavyohangaika sa hvi ma sisiemI like your statment
Hata ule mkanda wa mapanki mkwere alikataa hivyo hivyo akidai ile sio mwanza,
Halafu tukinatiana yule dada yako atoto anaweza kuleta noma japo nilishamwambia kuwa nataka nimuibe kidogo mdogo wake!!
Haha mkwere kusoma ajui ata picha aoni bwana. Ccm wanahaha
Kwa hili tupo pamoja!