hindikwetu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 251
- 86
Tangu kampeni zianze kumekuwa na propaganda,mara ooh eneo hili ni ngome ya Ukawa nakumbuka mwanza,mbeya na arusha,ilikuwa ikidaiwa hivyo.Lakini kwa tsunami ya leo jioni nimeogopa,nakujua kuwa kweli Magufuli anapendwa aise.

Sijaona wakizimia na nyomi ilikua funika bovu

Magufuli Leo kauwa,kiukweli jamaa kajipanga
Mh Dr john p magufuli,rais mteule wa jmtz.