Siku ukiingia kwenys 18 za maofisa wa TCRA utatamani utafute kazi nyingine hata kulima.Issue ya kusajili ni ngumu sana.
Biometric devices zinatakiwa zitolewe bure kwa wakala...lkn team leaders wanawauzia....na commition ni kidogo miezi mingine hakuna.
unadhani wakala atarudisha je ela yake?
Na kwa Airtel ili usajili lazima uwe na mb kwenye simu.
Tofauti na voda usajili unatumwa hata kama huna mb.
Kwa wateja wa Airtel nawatoza 500 au siwahudumii
Ila voda bure.
Nipo radhi nikusajilie na vocha nikupe bure tena ya 1,000
Hawawezi kunidakaSiku ukiingia kwenys 18 za maofisa wa TCRA utatamani utafute kazi nyingine hata kulima.