Shenkalwa
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 580
- 132
mtando wa uhakika bi ttcl tuu kuweni wazlendo mjiubge ttcl
Hivi ttcl wana mobile phone services??
mtando wa uhakika bi ttcl tuu kuweni wazlendo mjiubge ttcl
Hawa Airtel ni hatari mi kuna cku nilikua na rafiki zangu nikawaambia kua jamani mi nikiweka hela kwenye mtandao wa airtel hela huisha hata bila kupiga simu.wakabisha nikaweka buku ilipofika asubuhi nikacheki slio nikakuta nna 700 cjapiga cm cjajiunga na caller tune ile hela ilikwisha bila bila kutuma mesji wa kubip mtu mpaka leo nimeifanya simu ya nyumbani yaani tunapiga tu kujua nyumbani kinatokea nn haiwekewi vocha yaani ni cm ya kupokea tu te te te te te te teWanajamvi naandika huu uzi nikiwa muhanga wa vifurushi vya airtel. kuan wanajf wataanza kusema nimetumwa na mitandao mingine...la hasha mi bado natumia airtel but lazima niseme kwani nimekanyagwa.
Mara nyingi nikitumia bando kwenye modem huwa naweka line kwenye simu ili nnitumie airtime, naomba ieleweke wazi kuwa huwa simalizi bando la internet japokuwa huwa sichunguzi sana. lililonisibu jana ni kuwa nimenunua bando la sh 999 nikapewa mb 250 airtime 40minutes nk.nikatumia internet na nikaweka kwenye simu line nikaangalia salio kukawa na airtime 40dkka,na 136mb.cha ajabu naangalia leo salio ili nitumie kwenye internet kukawa kumebaki 50kb, nilishikwa na butwaa...kwani sm yangu haina internet,muda wa kuexpire ulikuwa bado masaa manne.nimekwazika sana na hawa wa.senge.....sijui kwa nini wanatudanganya danganya na hivi vifurushi.
mods naomba msiniban kama nimetumia lugha mbaya ukizingatia sijawatus nyie incase...nilikwazika sana na hawa vichaa
Yaliyokukuta nami pia yalinikuta. Kwa hasira mpaka leo sija-recharge muda wa maongezi, nasitegemei tena. Washenzi sana hawa. Hata ukinunua bundle ya dakika 10 unachopewa ni dakika 8.Hawa Airtel ni hatari mi kuna cku nilikua na rafiki zangu nikawaambia kua jamani mi nikiweka hela kwenye mtandao wa airtel hela huisha hata bila kupiga simu.wakabisha nikaweka buku ilipofika asubuhi nikacheki slio nikakuta nna 700 cjapiga cm cjajiunga na caller tune ile hela ilikwisha bila bila kutuma mesji wa kubip mtu mpaka leo nimeifanya simu ya nyumbani yaani tunapiga tu kujua nyumbani kinatokea nn haiwekewi vocha yaani ni cm ya kupokea tu te te te te te te te
Makampuni yote ya mawasiliano yakiachwa yashindane kibiashara hakuna kampuni inayoweza kushindana na TTCL. Tatizo tumewaachia wanasiasa walafi kuihujumu TTCL tena miongoni mwao wanaopewa heshima kwenye jamii kama Salim A Salim. CCM yote majizi tu.Hivi ttcl wana mobile phone services??
Wanazo huduma za mobile ila hawana mbwembwe za promo, bado wanaishi kwa mazoea.Hivi ttcl wana mobile phone services??
Wacha kutuzidisha hasira, leo nachomoa rasmi line ya airtel na modem naichoma moto maana siwezi kumpa ndugu wala rafiki ili aendelee kuibiwa.Naendelea kupokea malalamiko yenu............
Kwanza umenikumbusha hivi hii airtel wakati ilivyokuwa ikijulikana kama Celtel si ilikuwa chini ta TTCL? au nimejichanganya? na kama sikosei siri ya airtel kuwa na coverage kubwa country wide kuliko mtandao wowote ni kwamba wako powered by TTCL, hapa ndio utapata jibu.Makampuni yote ya mawasiliano yakiachwa yashindane kibiashara hakuna kampuni inayoweza kushindana na TTCL. Tatizo tumewaachia wanasiasa walafi kuihujumu TTCL tena miongoni mwao wanaopewa heshima kwenye jamii kama Salim A Salim. CCM yote majizi tu.
Wanazo huduma za mobile ila hawana mbwembwe za promo, bado wanaishi kwa mazoea.
Wacha kutuzidisha hasira, leo nachomoa rasmi line ya airtel na modem naichoma moto maana siwezi kumpa ndugu wala rafiki ili aendelee kuibiwa.
Sasa nimeamuwa kuwajaribu Zantel, modem ya tigo ninayo lakini nadhani hawajui hata Internet ni kitu gani speed mwendo wa kobe na kudisconect hovyo.
Mi mwenyewe wanankwaza mbaya
Wanajamvi naandika huu uzi nikiwa muhanga wa vifurushi vya airtel. kuan wanajf wataanza kusema nimetumwa na mitandao mingine...la hasha mi bado natumia airtel but lazima niseme kwani nimekanyagwa.