Siwezi kutema Big G ( tigo ) kwa karanga za kuonjeshwa ( mitandao mingine ) .
Kama si mpigaji sana wa simu na si mwandikaji sana wa sms na si mtumiaji sana wa internet na unatumia line ya Tigo jiunge tu na tigo time unapiga mitandao yote kwa TShs. 1.32 (VAt inclusive) kwa sekunde kwa mitandao yote TZ. Nimepiga voda kwa voda naona wanachaji Tshs 2.05 (VAT) inclusive kwa sekunde na inamaana ukipiga mtandao mwingine wanakulipisha zaidi ya hapo.
Hapana mimi sio mfanyakazi wa airtel , ni kwamba nimefurahishwa tu na vifurushi vyao vya AIRTEL YATOSHA.....!!
TSH 349 -10MIN(kupiga mitandao yote)+ 100SMS+25MB
TSH 499-DAY-25MIN(kupiga mitandao yote)+200SMS+75MB
TSH 749 -DAY-30 MIN (kupiga mitandao yote)+ 250 MB !
TSH 1,999-WEEK -70MIN(kupiga mitandao yote)+ 700SMS+175MB
TSH 2,999-WEEK- 175MIN(kupiga mitandao yote)+ 1400SMS+500MB
TSH 4,499-WEEK-210 MIN (kupiga mitandao yote)+(unlimited sms) 1.5 GB !
TSH 5999-WEEK-275 MIN+(kupiga mitandao yote)+(unlimited sms)+3GB !
bofya *149*99#
Nimeitoa laini yangu uvunguni sasa nimerudi AIRTEL kwa muda......
nina wasiwasi na cm yako!
Mbona hujafafanua vizuri hapo kwenye ''VIFURUSHI"?Jamani hata Voda nao wako vizuri kwa vifurushi vyao. Tsh. 350/= (dk. 10) na Tsh. 500/= (dk. 20). pia wanatoa zawadi, mathalani mimi nimepewa Tsh. 20,000/= kama salio, kutumia kwa siku 3 kupiga voda-voda. Wanatupa unafuu wa kuwasiliana kwa kweli! Wale wanaotumia Zantel na Tigo hebu mtujuze wana nini kizuri?
hio bei inajumuisha v.a.t. ?? AU ni kabla ya vat
alimradi uwe na laini ya airtel, haijalishi unatumia kwenye modem au kwenye simu.vipi mathematics hii ofa ishaisha me natumia line ya airtel kwenye moderm tu nayo pia ipo
Si hivyo tu, upande wa data ni hovyo kabisa. Nilijaribu kuitumia hata kusoma JF nikashindwa. Ni slow kuliko maelezo, sijui kama ni sehemu zote au ni huku niliko.Hata hivyo wasingeweka "per day" au per "week". Huu ni ujinga wao ingetosha kukokotoa kwenye dakika wanazokupa tu, halafu wangekuachia mwenyewe ikiwa hizo dakika 10 utumie kwa kwa siku, wiki au mwezi-vinginevyo ni wizi mwingine na usumbufu wa watu kupiga simu zisizo na maana ili mtu amalize dakika zake ndani ya given time; ambapo ni uharibifu wa resources