Mkuu ulipiga *154*44# na kuchagua bundle au ....halafu mbona kwa 2500 tu unapata zile mb400 kwa mwezi.....pole mkuu wapigie customer care wakusaidie
Wakuu leo nimeweka sh.3000 kwenye line yangu ya Airtel ili nijinafasi na bundle ya MB 400.. Cha ajabu nlipojiunga napata msg eti sina salio la kutosha..nkajaribu tena kwa mara kadhaa bdo hamna kitu..kucheki salio langu kuna 536!! Walishanikata hela yangu zamaan halaf hawajaniunga.mhuu si wiz wa wazwaz jaman!! CC haipatikan!!!!!
wewe ulisha unganishwa usitume sms mara ya pili ukikuta salio limepungua ujue ushalipia huduma kama ni simu zima na washa jaribu kufungua web itafunguka
Wewe unanitia mashaka maana 3000 - 2500 = 500 kama walikuunga ina maana ingebaki mia 500 so kubaki 536 ina maana wamekata 2464 na hakuna bundle ya style hio.
Cha muhimu kama ni pc angalia automatic updates na kama ni simu angalia kama ulikua kuna kitu unadownload ukaacha nusu
aliyedhulumiwa serious kabisa em ani PM Namba yake nikaprove leo leo usiku...Haya Mambo ya kuitana wezi sio fair
Tumieni Vodamodem zao hazipatikani officen kwao na ukienda M.City unaambiwa njoo kesho au nenda Morrocco. Ukifika huko unaambiwa njoo kesho. kesho ukienda unaambiwa kesho. ukienda Kariakoo unazikuta bei kali zaidi ya mara 2 ya bei ya ofn. Ni ufisadi mtupu.
hii ki run yataka moyo mkuu, ni gharama sanaTumieni Voda