Airtel wezi wakubwa

Airtel wezi wakubwa

Nimenunua vocha ya buku baada ya kuiingiza nikataka nijiunge kifurushi cha mb,nimejaribu kama Mara mbili ikaja msg kuwa nijaribu baadaye,nikakaa baadaye ya muda bila kufanya chochote maana nilikuwa nasubiria hizo mb!...sasa najaribu tens naambiwa sina salio la kutosha kujiunga na hicho kifurushi!..naangalia salio wamelamba sh 3!!...wapumbavu sana!
Ingekuwa Voda, ungezimia kabisa. Niliweka buku mbili ili nijiunge bundle. Dakika sifuri walishalamba 380. Sijui kwa lipi.
Dawa yao ndogo sana. Nunua vifurushi kupitia mpesa.
 
Nimenunua vocha ya buku baada ya kuiingiza nikataka nijiunge kifurushi cha mb,nimejaribu kama Mara mbili ikaja msg kuwa nijaribu baadaye,nikakaa baadaye ya muda bila kufanya chochote maana nilikuwa nasubiria hizo mb!...sasa najaribu tens naambiwa sina salio la kutosha kujiunga na hicho kifurushi!..naangalia salio wamelamba sh 3!!...wapumbavu sana!
Ila mi naona airtel ndo hawana michezo michafu kwa upande wangu kuhusu vocha. Naweza laza salio hata wiki na nikalikuta. Ila voda hata sijui kwa nini
 
Nimenunua vocha ya buku baada ya kuiingiza nikataka nijiunge kifurushi cha mb,nimejaribu kama Mara mbili ikaja msg kuwa nijaribu baadaye,nikakaa baadaye ya muda bila kufanya chochote maana nilikuwa nasubiria hizo mb!...sasa najaribu tens naambiwa sina salio la kutosha kujiunga na hicho kifurushi!..naangalia salio wamelamba sh 3!!...wapumbavu sana!
Ni Airtel ya Tanzania au? Labda ndo wameanza kulipa (kiharamu) deni la taifa. Pia,piga huduma kwa wateja kabla ya kulalamika mitandaoni maana hata MD wao yupo humu[emoji732]
 
Michezo ya voda hiyo....

Jana tu nimelambwa 500....

Kwa huduma ambayo wala sikuiomba.

Angalizo. Usiweke pesa as airtime.

Nunua dk via Mpesa.
 
Back
Top Bottom