Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Huku ni kukata tamaa. Viettel labda itatuokoa. Vipi Smart, kuna aliyewahi kutumia?
Sio kukata tamaa........sasa tutafanyaje na ndio tumeshajikuta kwenye linchi la kipuuzi kama hili........
Huku ni kukata tamaa. Viettel labda itatuokoa. Vipi Smart, kuna aliyewahi kutumia?
mimi ndo nilikuwa na mpango wa kuhamia huko kumbe nao ni kama voda.
Mie nishahama Airtel kitambo now natamba na Zantel wiki kwa 1gb kwa sh1000 tu... Sasa na wao wakiongeza bei dahhhh sijui nitakimbilia wapi mana hili linchi hili arghhhhh..NB: Karibuni Zantel ila njooni polepole mana mkijazana kwa mkupuo watashtuka hawa jamaa itakuwa shida zile zile.

Kaka hebu fafanua hapo kwenye 'overheating effect' na mtando hiyo imekaaje?
bado nipo vodaKwan sasa upo wapi mkuu?
Hii mitandao ya simu mpaka sasa cjaelewa lengo lao ni nn hasa...maan mpaka tigo wamepunguza MB kwenye university offer..
bado nipo voda
karibu 1000 unapata intanet bila kikomo ndani saa 24Nipokee mkuu nakuja huko ngoja nimalizie ka OMG kangu haka ka wiki.
mimi ndo nilikuwa na mpango wa kuhamia huko kumbe nao ni kama voda.
Mie nishahama Airtel kitambo now natamba na Zantel wiki kwa 1gb kwa sh1000 tu... Sasa na wao wakiongeza bei dahhhh sijui nitakimbilia wapi mana hili linchi hili arghhhhh..NB: Karibuni Zantel ila njooni polepole mana mkijazana kwa mkupuo watashtuka hawa jamaa itakuwa shida zile zile.
Piga *149*07# yakheee karibu ZANTELunajiungaje
unajiungaje
Piga *149*07# yakheee karibu ZANTEL
zamani kwa 1000 nilikuwa napata 1.2gb, leo asbh nimepewa 1gb bundle kwa 1000, hao ni airtel.