Airtel wapandisha gharama

wakuu Zantel ikoje...naona hawa Airtell siku zao zinahesabika...
 
Ila bado wako chini, ngoja kesho nikapate line yao hawa VODA wanaua sana, Tigo ndo kabisa wanakupa gharama nafuu lakini ukipata net unanyoosha mikono kushukuru

sure,nimeuona upuuzi wa tiGO kama siku 2 hivi hapo nyuma,juzi usiku na kuna siku ilitokea.,nikajiuliza,mbona browsing ndo kila siku hivi hivi tatizo nini???
Bt voda nilishaivunja laini yao zaman sana,iliwah kunitokea kama mara 2 au 3,najisajili kwa wiki,within 5 minutes bando kwishney,khaaaa
 
Sasa mie nina hama kabisa kwenye mtandao huo kuna mtandao mmoja sms mwaka mzima bure,kazi yangu sms tu, net ndo hela ila sms bure mwaka mzima, no call sms onlly my future plan
Mtandao upi huo?
 

Hata kule hakatwi mtu promotion ishaisha. Soon wanaanza kukata.
 

hata voda ni maumivu makubwa,sijui kuna nini?
 
siku hizi wanaigana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…