Airtel wapandisha gharama

Airtel wapandisha gharama

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
3,077
Reaction score
1,438
Ndugu wanajamvi ule mtandao uliojitangaza kama baba lao nadhani unaanza kuchoka.
Hawa jamaa wamebadili pakeji kama ifuatavyo:
Vifurushi Vya Siku
1. sh 399 unapata Dk 7 + 50 SMS + 20MB
2. sh 499 unapata Dk 13 + 300 SMS + 125MB
3. sh 649 unapata Dk 20 + 450SMS + 150MB
4. sh 849 unapata Dk 25 + 500SMS + 250MB
5. sh 999 unapata Dk 30 + 1000SMS + 300MB

VIfurushi Vya Mwezi:
1. sh 9999 unapewa Dk 200 + 500SMS + 500MB
2. sh 19999 unapewa Dk 450 + 1500SMS + 1Gb
3. sh 34999 unapewa Dk 800 + 2500SMS +1.5Gb

Tusubiri kule hakatwi mtu!!!!
 
Ila bado wako chini, ngoja kesho nikapate line yao hawa VODA wanaua sana, Tigo ndo kabisa wanakupa gharama nafuu lakini ukipata net unanyoosha mikono kushukuru
 
Ndugu wanajamvi ule mtandao uliojitangaza kama baba lao nadhani unaanza kuchoka.
Hawa jamaa wamebadili pakeji kama ifuatavyo:
Vifurushi Vya Siku
1. sh 399 unapata Dk 7 + 50 SMS + 20MB
2. sh 499 unapata Dk 13 + 300 SMS + 125MB
3. sh 649 unapata Dk 20 + 450SMS + 150MB
4. sh 849 unapata Dk 25 + 500SMS + 250MB
5. sh 999 unapata Dk 30 + 1000SMS + 300MB

VIfurushi Vya Mwezi:
1. sh 9999 unapewa Dk 200 + 500SMS + 500MB
2. sh 19999 unapewa Dk 450 + 1500SMS + 1Gb
3. sh 34999 unapewa Dk 800 + 2500SMS +1.5Gb

Tusubiri kule hakatwi mtu!!!!

Hawa ni wahuni tu, tulijua kuwa wanataka kuwavuta watu then wafanye unyonyaji wao!
 
Ndugu wanajamvi ule mtandao uliojitangaza kama baba lao nadhani unaanza kuchoka.
Hawa jamaa wamebadili pakeji kama ifuatavyo:
Vifurushi Vya Siku
1. sh 399 unapata Dk 7 + 50 SMS + 20MB
2. sh 499 unapata Dk 13 + 300 SMS + 125MB
3. sh 649 unapata Dk 20 + 450SMS + 150MB
4. sh 849 unapata Dk 25 + 500SMS + 250MB
5. sh 999 unapata Dk 30 + 1000SMS + 300MB

VIfurushi Vya Mwezi:
1. sh 9999 unapewa Dk 200 + 500SMS + 500MB
2. sh 19999 unapewa Dk 450 + 1500SMS + 1Gb
3. sh 34999 unapewa Dk 800 + 2500SMS +1.5Gb

Tusubiri kule hakatwi mtu!!!!

Line yao nlikua nimeweka kwenye kabati...sasa baada ya uonevu wa voda nkaona leo nitumie airtel! Naweka kajero nakutana n vituko!! Daaaah hii nchi ngumu hii!!
 
mungu akijalia salama kesho nikatoe kaela kangu mie kabla hawsjaleta zao za kuanza kukata.
 
Ndugu wanajamvi ule mtandao uliojitangaza kama baba lao nadhani unaanza kuchoka.
Hawa jamaa wamebadili pakeji kama ifuatavyo:
Vifurushi Vya Siku
1. sh 399 unapata Dk 7 + 50 SMS + 20MB
2. sh 499 unapata Dk 13 + 300 SMS + 125MB
3. sh 649 unapata Dk 20 + 450SMS + 150MB
4. sh 849 unapata Dk 25 + 500SMS + 250MB
5. sh 999 unapata Dk 30 + 1000SMS + 300MB

VIfurushi Vya Mwezi:
1. sh 9999 unapewa Dk 200 + 500SMS + 500MB
2. sh 19999 unapewa Dk 450 + 1500SMS + 1Gb
3. sh 34999 unapewa Dk 800 + 2500SMS +1.5Gb

Tusubiri kule hakatwi mtu!!!!

ndo tusha katwa hivyo mkuu
 
Hata mie nimeshangaa leo badala ya dakika300 jimepata 200 , speed ya kununua vocha itakuwa imepungua hawaoni hela,sasa wanatuhamisha tataratibu kutafuta mtandao wa bei rahisi
 
TTCL si hua wanajiita 'mama yao' already

Sasa mie nina hama kabisa kwenye mtandao huo kuna mtandao mmoja sms mwaka mzima bure,kazi yangu sms tu, net ndo hela ila sms bure mwaka mzima, no call sms onlly my future plan
 
haya ndio matokeo ya kodi ya line za simu. inasikitika mwaka unaanza vibaya, umeme juu na sasa simu juu.

Halafu hii serekali mfu ya ccm wanadai wanataka kupunguza mfumuko wa bei. Majambazi wakubwa kabisa hawa, Mwenyezi Mungu awalaani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom