Airtel wananiboa........

Airtel wananiboa........

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Karibu mwezi sasa wamekuwa wananinyima internet bundle kila ninapojiunga na yatosha. Kila nikiripoti nakutana na wale useless customer care ambao sijui hata wanafanya kazi gani maana hawana msaada wowote. Natamani kuhama Airtel
 
Hama sasa... Yaan unateswa wakati hela ni yako

Mi huwa siwalei lei hawa watu wa mitandao... Nahamia kwenye masilahi...

Wanaonikera wanabaki kuwa pembeni mtu akipiga ndo napokea mambo mengine mtandao wenye masilahi ndo unafaidi vocha zangu
 
Karibu mwezi sasa wamekuwa wananinyima internet bundle kila ninapojiunga na yatosha. Kila nikiripoti nakutana na wale useless customer care ambao sijui hata wanafanya kazi gani maana hawana msaada wowote. Natamani kuhama Airtel

Wanaboa kweli kwenye kila service.

Sijawahi kujiunga na Mwananchi breaking news, lakini wanatuma sms zao na kunikata pesa.

Nimepiga customer care wakanielekeza jinsi ya ku unsubscribe na service, nikafanya. Mbaya zaidi wakatuma na sms kuwa nimesitishiwa hiyo huduma ya kinyonyaji.

Cha ajabu bado wanatuma na kunikata pesa!

Sasa, nimewakopa Tshs 800. Hili deni sitalipa milele, niko Vodacom nakula raha!
 
Airtel kweli wana bore sana siku hizi kwanza wamepunguza bundle zao pia internet yako iko very slow! Wameona wengi wamejiunga wanasema hatoki mtu hapa! Sijui wamelemewa na wingi wa watu huduma zao siku hizi ni hovyo sana najuuuuuta kuwafahamu! Soon ntawakimbia na line yao naitupa!
 
Mbona airtel wako vizur tu? Nimekuwa nikinunua yatosha yao kwa wik nzima na wananipa bundle vizur kabisa na miez kama saba hiv tang niache kutumia internet ya v..... jarib kuongea nao kwa utuliv watakupa utaratib pengine setings za lain yako huko kwenye jiko lao haziko vizuri.
 
Mkuu nimekuwa natumia line hii kwa zaidi ya miaka 10, so kama ni settings za line haziko sawa ingetokea miaka mingi iliyopita so sidhani kama ni settings. Labda sie wenye line za zamani ndio tuna matatizo
 
Pole sana kwa kukatwa mkuu !
Airtel wanatabia za ajabu ajabu sana !
Ukizubaa Airtel money wanakata unakuta 0Tsh
 
Mkuu nimekuwa natumia line hii kwa zaidi ya miaka 10, so kama ni settings za line haziko sawa ingetokea miaka mingi iliyopita so sidhani kama ni settings. Labda sie wenye line za zamani ndio tuna matatizo

Kama ndo hivo bas usiwe static fanya maamuz yaliyo sahih,nam huwa sikai na network inayonisumbua nachagua kitu kilicho reliable kwangu, Pole sana ndugu!
 
Sioni ni wapi pa kukimbilia na ukajisifu! Labda hao Smart. Kwangu kwa Internet ni afadhali Airtel. Voda iko slow Ila tigo ni slowest kabisa. Kwa kweli huwa nawashangaa wanaosifia Tigo kwa internet!

Ila KWA customer care Airtel bado wana kazi kubwa! Mara nyingi huwa hawana solution kwa Mteja. Voda in wazuri kwa customer care.
 
Nakubaliana na wewe kwenye hili mkuu, nakumbuka zamani ulikuwa ukiongea na customer care wanakulink na kitengo husika on the spot na wanashughulikia tatizo lako hapo hapo. Siku hizi wana yale ma useless people pale halafu wamekariri majibu ya kutoa mpaka wanaboa yaani!
 
Karibu mwezi sasa wamekuwa wananinyima internet bundle kila ninapojiunga na yatosha. Kila nikiripoti nakutana na wale useless customer care ambao sijui hata wanafanya kazi gani maana hawana msaada wowote. Natamani kuhama Airtel

Nataka nijaribu internet bundles za airtel, nione zikoje....sizifahamu nimejaribu kugoogle nimekosa...Naomba mnitajie

Huwa natumia tigo, GB 10 kwa wiki kwa elfu 6000.. Lakini imekua slow sana.... Nashindwa kucheki videos za mitandao ya TED na youtube. Msaada Tafadhali.
 
Bora nenda Voda maana vfurushi vyao ukiondoa vya SWITCH ON ni ajanga matupu
SWITCH ON yenyewe majanga illla afadhali kkidogo

Airtel Tanzania
 
Back
Top Bottom