FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,937
- 47,023
Leo nimesikitika kuona wadada vigori wakisimamishwa barabarani huku wamebeba mabango ya matangazo ya kampuni ya AIRTEL, yaani wanasimamishwa tangia mchana jua kali mpaka jioni.., wana kula moshi na vumbi la magari pale ubungo kama masanamu.., yaani daaa..!, hivi hayo matangazo mkiweka kwenye mabango mtapungukiwa na nini.., ndo mnakwepa kodi au..??! MKOMEE!! Ona huyu dada mwenye shirt la airtel hapo (shirt jekundu, picha nimepiga kwa mbali)
View attachment 140563
Tusi-take advantage na matatizo ya watu..., we utanunua changudoa kisa ndio urefu wa kamba yake..?mbuzi hula urefu wa kamba yake.
Mkuu yaani we pita pale hasa ule upande wenye vumbi kwenye kona ya kuelekea kituoni.., wanatia huruma hakyaanani.., huu si ubinadamu kwa kweli.., mikampuni hii mi nitaanza mgomo binafsi.., na komaa tigo tuu.., shenz type...!Sasa kazi hakuna unafikiri Airtel au voda wanawalazimisha kuchukua kazi za kusimama na mabango ......ugumu wa maisha ndo maana sister yuko tayari kushika bango masaa 12 kwa hela <=10000 per day
Lalamika na matrafic wanaosimama hivo. We mtu ni wa ajabu sana wewe umetoa ajira ngap? Mitanzania mingine inasikitisha.
Ata ukienda nchi zilizoendelea hayo mambo yapo.
Bora mtu afanye kazi harali kuliko kujiuza.
Upeo wako ni mfup sana
Acha kuongea kama umekurupuka kwenye ndoto.., we umeshawahi kupita huku Dar ukawaona.??! Unaishi Dar na unalifahamu jua na vumbi la huku.., au we hata ni mtanzania kwanza..??! Its simply inhumane my friend.., yaani ni kama zile enzi za utumwa the way i see it..., nothing justifies this.., wawape hata ajira ya kutembea nayo tuu lakini sio namna ile.., ina athari hata kisaikolojia na inashusha self-esteem ya mtu. kweli unaweza imagine ur sis anatendewa vile na ukafurahia..??! haya rudi usingizini uendelee kumuota PK Mbwa wee..!!!!
unaniuliza mimi..???!! mi ndio nimewapa hiyo so called "ajira" a.k.a "udhalilishaji wa kiuchumi"..?!Hizo kazi wamelazimishwa? Au ni hiari?
Hata buguruni sheri walikuepo asubuhi yani wanatia huruma japo wao wanaona kawaida.