Airtel Virtual MasterCard naikubali

Pay pal ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni platform inayokulinda kati yako na mtu unayenunua kitu kwake au kulipia huduma especially mtandaoni kwa kutumia card(yaani unailink card yako na paypal) , bila hawa kuna uwezekano ukatumia huduma ya mtu mwisho wa siku akatumia particulars zako kukuibia kwenye visa au Mastercard yako, nahisi nimejaribu kwa uelewa wangu.
 
Mkuu nimefanikiwa kulink MasterCard yangu na PayPal account.
Kulink hizi card na PayPal sio bure. Gharama yake Ni dola moja Kati ya sh 2300-2500. Inatakiwa kuweka hicho kiasi Cha pesa kwenye account yako ya MasterCard. Wakati unalink, PayPal watakata hiyo dola moja na utakuwa umekamilisha utaratibu.
Huu ujumbe ambao PayPal wanaandika i.e YOUR CARD WAS DECLINED BY THE ISSUEING BANK, Ni kutokana na hakuna pesa ya kukata kwenye MasterCard ili wailink.
Jaribu utafanikiwa.
Ndo hivo mkuu hamna namna sema kama unataka kuwa na uhakika na kuendelea na mambo yako ni bora ukawa na cash card, hizi zinapatikana international banks kama exim, backrays, bankAbc etc.

Sent using LEAGOO M12
 
Mkuu nimefanikiwa kulink MasterCard yangu na PayPal account.
Kulink hizi card na PayPal sio bure. Gharama yake Ni dola moja Kati ya sh 2300-2500. Inatakiwa kuweka hicho kiasi Cha pesa kwenye account yako ya MasterCard. Wakati unalink, PayPal watakata hiyo dola moja na utakuwa umekamilisha utaratibu.
Huu ujumbe ambao PayPal wanaandika i.e YOUR CARD WAS DECLINED BY THE ISSUEING BANK, Ni kutokana na hakuna pesa ya kukata kwenye MasterCard ili wailink.
Jaribu utafanikiwa.

Sent using LEAGOO M12
Kweli mkuu, nimefanikiwa nami pia, ila voda walipaswa kuliweka wazi hili.
 
TOFAUTI KATI YA AIRTEL MASTERCARD NA M-PESA MASTERCARD.
1. Malipo yoyote kupitia M-PESA MasterCard Kuna makato.Wanakata kiwango flani Kama gharama za huduma. Lakini Airtel MasterCard hawakati chochote zaidi ya gharama za kununulia bidhaa. Nimefanya transaction mbili za M-pesa MasterCard na tatu za Airtel MasterCard nikaona hizo tofauti.

2. Ukitumia M-pesa MasterCard lazima uhamishe salio kutoka M-pesa account kwenda M-pesa MasterCard account. Lakini Airtel MasterCard Haina haja hiyo maana Airtel money imeunganishwa moja kwa moja na Airtel MasterCard account. Pesa itakatwa moja kwa moja kwenye account ya Airtel money.

HIZI TOFAUTI NI KUTOKANA NA UZOEFU WANGU WA KUZITUMIA ZOTE . ZINAWEZA KUKOSOLEWA PIA.

Sent using LEAGOO M12
 
Airtel MasterCard inakupa taarifa ya mchukuaji pesa yan mf google,paypal, AliExpress ktk sms ya muamula na hii ndio sababu inakuwezesha kuilink na PayPal kwa kuzipata zile code zao ktk sms.Airtel MasterCard inadumu kwa miez 12 tangu siku uliyoitengeneza na unaweza kuifuta na kutengeneza mpya muda wowote.Makato ya kadi yao yako kulingana na exchange rate ya siku husika.Sijajuta kuwatumia.Kama wanashaurika basi wafanye namna watungee na PayPal kupokea pesa toka nje hili nila msingi na tamaa kubwa kuipata huduma hii.

vipi kupokea pesa kutoka payball kwenda airtel mastercard inakubali?
 
Airtel MasterCard inakupa taarifa ya mchukuaji pesa yan mf google,paypal, AliExpress ktk sms ya muamula na hii ndio sababu inakuwezesha kuilink na PayPal kwa kuzipata zile code zao ktk sms.Airtel MasterCard inadumu kwa miez 12 tangu siku uliyoitengeneza na unaweza kuifuta na kutengeneza mpya muda wowote.Makato ya kadi yao yako kulingana na exchange rate ya siku husika.Sijajuta kuwatumia.Kama wanashaurika basi wafanye namna watungee na PayPal kupokea pesa toka nje hili nila msingi na tamaa kubwa kuipata huduma hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuhusu kupokea pesa paypal ni bora utumie paypal kenya kwa wakati huu... paypal yao inailink na m pesa ya safaricom
 
Ni kweli safaricom ni nzuri changamoto ni namna ya kusajiri hiyo laini, maana ile wanayofanya sasa ya kutumia taarifa za mtu mwingine huko mitaani ni hatari.
 
Mkuu nimefanikiwa kulink MasterCard yangu na PayPal account.
Kulink hizi card na PayPal sio bure. Gharama yake Ni dola moja Kati ya sh 2300-2500. Inatakiwa kuweka hicho kiasi Cha pesa kwenye account yako ya MasterCard. Wakati unalink, PayPal watakata hiyo dola moja na utakuwa umekamilisha utaratibu.
Huu ujumbe ambao PayPal wanaandika i.e YOUR CARD WAS DECLINED BY THE ISSUEING BANK, Ni kutokana na hakuna pesa ya kukata kwenye MasterCard ili wailink.
Jaribu utafanikiwa.

Sent using LEAGOO M12
Vip mkuu ukishalink unaweza kupokea pesa kutoka PayPal kuna kwenye master card yako au no kutuma tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom