Airtel Virtual MasterCard naikubali

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,603
Nimekuwa nikitumia kununua bidhaa na huduma online kwa card za CRDB, Vodacom na sasa nimetumie ya Airtel.

Kwa nionavyo mimi hakika Airtel wameifanya vyema huduma yao na namna unavyoona makato at a time.

CRDB imekuwa ikikaa mara kwa mara kwa baadhi ya miamala japo unakuta ilishakubali hapo awali.

Vodacom imekuwa ikikataliwa baadhi ya mitandao na makato yao duuuu soo poa.

Airtel wana makato nafuu na huduma imefanywa kuwa rahisi.

IMG-20191221-WA0000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom