Airtel,tigo zantel na voda

Airtel,tigo zantel na voda

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,257
Reaction score
649
Utafiti wa kina umeonyesha kuwa,watu wanao tumia line ya

VODA
-Ni watu wenye staha,heshima na vyeo.

AIRTEL
-Ni wafanya biashara ,wafanyakazi wa makampuni makubwa, viongozi na matajiri wenye pesa za kutosha.

ZANTEL
-Ni watu wa visiwani,mashekhe,mayakhe,mamwinyi na maustaadhi.

TIGO
-Ni wanafunzi,mahousegirl,mashamba boy,madalali, wasio na kazi maalumu,na watu wa mizinga na wengi wao afya zao ni migogoro.

Je wana JF mpo wapi kati ya hiyo mitandao hapo juu?
 
nina samsung zangu mbili za double line, na enjoy huduma hizo zote
 
Ninayo simu ya line nne, mitandao yote ninaifaidi, shamba boy na madenti waliipenda tigo those days longalonga bure saa 6 usiku, bt now tigo wezi tu maneno celtel na voda,
 
Ninayo simu ya line nne, mitandao yote ninaifaidi, shamba boy na madenti waliipenda tigo those days longalonga bure saa 6 usiku, bt now tigo wezi tu maneno celtel na voda,
Hiyo simu line 4 lazima itakuwa ya kichina,teheee theheeeee
Kwa sasa mitandao karibia yote ni wezi tuuuuuuu kila kukicha wanakuja na mbinu mpya ya kuiba...
 
mimi ni houseboy lakini nina Voda na Airtel kwenye 'mchina' wangu!!
 
Ila tigo wamezdi custmore care yao ukipiga lazima ulipie kama auna salio imekula kwako!
 
[QUOTEJe wana JF mpo wapi kati ya hiyo mitandao hapo juu? [/QUOTE]

mi natumia...... Symbion......
 
[QUOTEJe wana JF mpo wapi kati ya hiyo mitandao hapo juu?

mi natumia...... Symbion......[/QUOTE]
Hakuna uhusiano kati symbion na mitandao ya simu.
Ficha upumbavu wako,usifiche hekima yako.
 
du hii kali, lakini sulpha, hii research ya siku ngapi?

Back
Top Bottom