Airtel Tanzania wamekuja na huduma ya eSIM

Airtel Tanzania wamekuja na huduma ya eSIM

ni tofauti kidogo. inahitaji some technical capabilities kuelewa.

eSIM ni line imechomelewa kwenye Simu ipo blank so inahitaji kuwa assigned carrier pamoja na namba ndio ifanye kazi. ndio maana inaitwa embeded yaani kama kuambatanishwa au kishikizwa au kubebeshwa.

lakini

iSIM is an emrging technolgy (integrated SIM) of which SIM inakua ndani ya CPU ya simu Or tuite SOC ya simu. So inakua sio phisical tena ikachomelewa kwenye mother board/ PCB ya simu yako.

advantege ya iSIM ipo kwenye nyanja ya usalama pamoja na Kupunguza matumizi ya umeme kwenye simu yako maana inakuwa sio hardware
Asante sana. eSIM unaweza kuweka line ya mtandao wowote ama ni lazima iwe line ya Airtel tu?
 
Hiyo samsung imekaaje hapo?
Screenshot_20230316-235123_Service%20mode.jpg
 
Simu za android nyingi zina option ya line mbili hivyo nyingi hazina hii issue. labda kwa Simu latest kama samsung s21 na kuendelea. maana s22 na s23 zina eSIM

sijajua kwa brands nyingine kama Xiami, Huawei, Oppo nk
The Pixel 4 and Pixel 4XL and all later Pixels have an eSIM and offer dual-SIM functionality. The eSIM is unlocked to numerous mobile networks around the world and the SIM cards (eSIM and nano) can be operated at the same time without the need to manually switch between SIM cards.
 
View attachment 2554181

Kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tz imekuja na huduma ya eSIM ambayo imekua ikisubiliwa sana.

Huduma hii itawapa watumiaji nafasi ya kutumia zaidi ya namba moja kwenye simu moja bila kuongeza (Phisical SIM) Nyingine.

Watumiaji wa Iphone wengine hasa kuanzia iphone 11 wana hii huduma kwenye simu zao ila kwa muda mrefu wamekua hawawezi kupata hii huduma ya eSIM
View attachment 2554191


Nchi kama USA ina huduma hii kwa muda mrefu, huku nchi zinazoendelea tukiendelea kusugua benchi.

Sasa Airtel tanzania wametutoa kimasomaso.
View attachment 2554192
Kwa watumiaji hususani wa iphone ili kujua kama simu yako ina hii huduma bonueza *#06# itatokea picha kama hiyo [emoji1369][emoji1369][emoji1369][emoji1369][emoji1369][emoji1369] utaona simu ina IMEI namba mbili licha ya kuwa simu ni ya line moja.

Pia lazima Simu yako iwe EID. namba hii hutumika na carrier wako (Airtel) wakati wa kuisajili huduma hii.

Tembelea branch yoyote ya airtel kwa msaada.
Lakin Namba zote zinakuwa za airtel? Kama ni hvyo itakuwa aina faida sasa
 
Nokia pia IPO Kwa kuangalia bonyeza *#06#
Mi natumia Samsung Galaxy S20 lakini hakuna hiyo EID
Nikiuliza open air.com inajibu hivi;
No, all Samsung Galaxy S20 models released by Samsung support eSIM functionality. This includes the Samsung Galaxy S20, S20+, and S20 Ultra. However, it's always best to confirm with your carrier that eSIM is supported and enabled on your device.



AU ESIM ZINATOFAUTIANA?
Screenshot_20230317-152532_Service mode.jpg
 
Yes, the Samsung Galaxy S20 has an EID. The EID is stored in the device's embedded secure element, which is a hardware component that is designed to securely store sensitive data, such as payment credentials and authentication keys. The EID is used to enable secure mobile payments and other secure transactions on the device. The Samsung Galaxy S20 uses a combination of hardware and software-based cryptographic techniques to ensure that the EID is unique, secure, and tamper-proof.

Airtel wao wanasema haina uwezo huo
 
Back
Top Bottom