Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,595
Kuna tatizo nali experience kwenye huu mtandao wadau,line yangu ya Airtel haipandishi mnara wowote ikiwa kwenye band ya WCDMA preffered ila tu kwa band ya GSM only, na kama ikipandisha basi within seconds mnara wa simu na wa data (H) vyote hupotea kabisa,simu inkuwa kama haina line...Nilishazoea kuweka Band ya WCDMA only ili kusudi niinjoy the best speeds za data wakati wote.
Nilikwishajiunga na bundle la week 1Gb yatosha last week ikawa fresh mpk lilipoisha,Week hii tena nikajiunga ila baada ya siku moja ya matumizi ndio nikaanza kuyaona haya mauza uza...
Kuhusu line nyingine kama Tigo,Vodacom znapiga kazi fresh sana hata nikiwa band ya WCDMA only(3G only)
Kilichonisikitisha zaidi nmejaribu kupiga huduma kwa wateja Airtel nkaambiwa nilipe sh.60 kuongea na mhudumu,Total disappointment!!!
Wadau kwa mwenye experience ama ushauri juu ya hili?
mi nawasiwasi na eneo tu unalo ishi.
Habari za Muda
Nina simu moja Sumsung SII... Inagoma kuConfigure Internet
Natumia Laini ya Airtell.... Nifanye nini????

futa access point zote then uombe settings upya airtel.
nakushauri kama ni internet ununue bando la roaming la mb 15 kwa 60,000
Mkuu hapo umekosea ama ni kweli?
..hakijakosewa kitu hapo!Mkuu hapo umekosea ama ni kweli?
Yupo sahihi.......ingia kwenye menu yao uone.........
..hakijakosewa kitu hapo!
Kuna tatizo nali experience kwenye huu mtandao wadau,line yangu ya Airtel haipandishi mnara wowote ikiwa kwenye band ya WCDMA preffered ila tu kwa band ya GSM only, na kama ikipandisha basi within seconds mnara wa simu na wa data (H) vyote hupotea kabisa,simu inkuwa kama haina line...Nilishazoea kuweka Band ya WCDMA only ili kusudi niinjoy the best speeds za data wakati wote.
Nilikwishajiunga na bundle la week 1Gb yatosha last week ikawa fresh mpk lilipoisha,Week hii tena nikajiunga ila baada ya siku moja ya matumizi ndio nikaanza kuyaona haya mauza uza...
Kuhusu line nyingine kama Tigo,Vodacom znapiga kazi fresh sana hata nikiwa band ya WCDMA only(3G only)
Kilichonisikitisha zaidi nmejaribu kupiga huduma kwa wateja Airtel nkaambiwa nilipe sh.60 kuongea na mhudumu,Total disappointment!!!
Wadau kwa mwenye experience ama ushauri juu ya hili?
Imeanza kunitokea wiki mbili zilizopita, na sijahama eneo nililokuwa mwanzo , SIJAHAMA,..
Nami mwanzo nilikuwa nikiweka WCDMA only inakubali vizuri na inafanya kazi na nimeitumia kwa zaidi ya miezi 6 bila matatizo, wiki iliyopita likaanza hili tatizo nikadhani labda line imechoka inajam kwenye holder yake nikairekebisha bado, nikaswap line bado,,,, Tatizo ni kuwa nikisearch mobile network manually tokea wiki iliyopita haikubali kujiunga na ule mnara wa Airtel 3G na badala yake inakubali airtel 2G peke yake, hivyo kama umeweka WCDMA only na network inasearch automatically haitaweka network kabisa.
Nimejaribu kufanya hata maeneo ya mijini imekataa kabisa,,,,
Labda huu ni mwanzo tu wengine watafata, au labda ni namba zetu tu mkuu...
# Kwenye simu hiyo hiyo mitandao mingine inafanya kazi vizuri kabisa bila shida