Airtel sikilizeni kilio changu

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433
Kilio changu mimi ni kwa hawa majangiri. Hivi huku hamna hata wafanyakazi wa sekta hata ya ufagiaji tu huko airtel apeleke malalamiko? Haiwezekani ka kitu ka GB 13 inasema masaa 39 na wakati kuna mtu yuko kenya na yeye alikua anadownload ndani ya nusu saa akaniambia amemaliza.

f0e1f99e63e5e597d487a114d39af595.jpg


Airtel
 
mi nina file la 15GB naambiwa 68hrs sema usiku ikichanganya sana hadi asubuh nahis zaid ya 50% itakuwa tayari
 
Airtel wanazingua aiseeee acha tu... Jana nilikua nadownload movie ina 2.5GB aseee nilitumia masaa kama 5 hv kumaliza wakat TTCL nilidownload 3GB chini ya dk.45.
 
Back
Top Bottom