Airtel Postpaid Service.

arbostar09

New Member
Sep 28, 2014
4
1
Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake?
 
images.jpeg-13.jpg

Sme za Airtel equivalent ya postpaid tigo
 
Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake?
Unlimited ni 70k kwa 10mbs na 110k kwa 30mbs.
Na mimi natumia tigo ya 40k ila sio unlimited.

Nadhani nitaamia Airtel ile ya unlimited
 
Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake?
Halotel ipo unakua unajiunga mwenyewe kutokana na matumizi yako. Speed imeboreshwa maana ni laini ya internet tu.
 
Attachments

  • InShot_20231222_220513278.jpg
    InShot_20231222_220513278.jpg
    1 MB · Views: 2
Back
Top Bottom