airtel ni waiziii nawahama si mda mrefu

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
jamaa waizi sana hasa kwenye huduma ya internet ukinunua bundle zao au ukisurf hata bila kuunga jamaa wanakwangua sana hi nimeigundua toka juzi
 
njoosha maelezo huweleweki. wenzako tunakula raha tu nabundle ya shilling 2500/= na ni airtel hiyohiyo.
 
huyo nae katumwa hulazimishwi na si lazima utangaze hama kimya kimya wenzio twala kuku na bata na airtel hiyo hiyo bila matatizo na hakuna mtandao ambao una piga dili kwenye net nkama aitel kama ulikuwa hujui.
 
Back
Top Bottom