Kweli, hili ndilo neno linalofaa zaidi kwaoubabaishaji is such a polite word. huu ni WIZI, tena wizi mkubwa tu. au labda definition ya free imebadilika?
matangazo yote mwishoni wanakwambia vigezo na masharti kuzingatiwa, huwa hamuelewi maan yake?
Sio wababaishaji ila ni wahongaji wazuri. Kuna watu TCRA wAKO KWNY PAYROLL YA AIRTEL