Airtel ni baba lao

Airtel ni baba lao

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,377
YAANI UNAPATA dakika 20 sms 300 na bila kusahau megabytes 125 duh aise airtel ni baba lao
 
YAANI UNAPATA dakika 20 sms 300 na bila kusahau megabytes 125 duh aise airtel ni baba lao
  • Je ni kwa tsh ngapi?.
 
Toka nihamie Airtel sina mpango na wale jamaa wa kazi ni kwako.!

naangalia YouTube bila chenga....na MB zinakwenda kihalali kabisa.

haibiwi mtu hapa.!!!!
 
For Promotional Use only
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
ukiwa na airtel huna muda wa kuwaza huyu aliyenibeep ni tigo au voda, unapiga tu, makato yale yale!
 
Airtel inanipa raha kwa kweli hata sifikirii ni mtu wa line gani nimpigie mi natwanga tu kazi ni kwa mpokeaji!
 
wanaolalamika speed mi siwaelewi mi mbona kwangu iko fasta...halafu mi naona ndio mtandao ulio cheap ...i.e kwa tsh 600/= napata 500mbs raha gani hii..........
 
Vibaraka ninyi...mi mwenzenu hyo lain inautando wa buibui yaan nimeisahau kabsa!
 
wanaolalamika speed mi siwaelewi mi mbona kwangu iko fasta...halafu mi naona ndio mtandao ulio cheap ...i.e kwa tsh 600/= napata 500mbs raha gani hii..........

mkuu ebu fanya maujanja namna ya kujiunga ni hii huduma.......
 
Back
Top Bottom