Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
Tatizo ni TCRA wala sio hii mitandao.
Wamebanwa sana wawape CCM pesa za kampeni mkuu
Tatizo ni TCRA wala sio hii mitandao.
Hivi kuna vocha special kwa hiyo bundle au ni vocha hizi tunazotumia kila siku?!Uko sahihi na mimi nanunuaga mara nyingi kwa ajili ya bandle!!
lowassa si ana share vodacom?Wamebanwa sana wawape CCM pesa za kampeni mkuu
TCRA au ccm?
Uwiiiiiii niende wapi mimi jamani?
Hao Hallotel si waanze kuuza line watu tuhamie huko?
Hawa watu wa mitandao wanataka kutufanya shamba la bibi,tufanye mabadiliko kotekote Watanzania.
Kipindi cha uchaguzi hiki ccm imechukua fedha kutoka kwenye makampuni ya simu ndiyo maana wanafanya watakavyo
vodacim ni ya wana ukawa hapo ccm tutionea sasa hicho cha tar 25 kinachosha
habari zenu,
sijajua nafasi ya tcra ni ipi ktk kumlinda mlaji. Naona makampuni ya simu yanafanya yatakavyo.
Airtel hatimaye na wao kifurushi cha 500 cha yatosha sasa sio cha masaa 24. Kama una dk zako zimebakia ikifika saa sita usiku, zinapukutika.
Pia nilikuwa na dk kadhaa za yatosha ya 500 ambazo nilikuwa na carry forward kama sizitumii zote ila naona sasa hamna ku carry forward maana dk zangu zote nazo wamekwapua licha ya kutop up ndani ya muda.
Huu ni ukiritimba uliovuka mipaka, juzi juzi voda nao wefinya mb mpaka 1, haipendezi kabisa. Na hawa jamaa huwa wanafanya mabadiliko kwa kuambiana, tujiandae na tigo nao watabadili kitu si muda mrefu.
Uwiiiiiii niende wapi mimi jamani?
Hao Hallotel si waanze kuuza line watu tuhamie huko?
Hawa watu wa mitandao wanataka kutufanya shamba la bibi,tufanye mabadiliko kotekote Watanzania.
hii ni offa. Usilazimishe ndio iwe bei. Bei zinajulikana. Tofaitisha kati ya promotion na bei halali. Sasa tcra wawalazimishe airtel wakupe offa kama utakavyo? Hizo ni akili za wanao jiita ukawa.
Mimi nimehamia rasmi zantel
Sasa nao wasije kwa mikwara alafu wanaanza kuwaiga hawa wa sasa!
lowassa si ana share vodacom?
Habari zenu,
Sijajua nafasi ya TCRA ni ipi ktk kumlinda mlaji. Naona makampuni ya simu yanafanya yatakavyo.
Airtel hatimaye na wao kifurushi cha 500 cha yatosha sasa SIO CHA MASAA 24. Kama una dk zako zimebakia ikifika saa sita usiku, ZINAPUKUTIKA.
Pia nilikuwa na dk kadhaa za yatosha ya 500 ambazo nilikuwa na carry forward kama sizitumii zote ila naona sasa HAMNA ku carry forward maana dk zangu zote nazo wamekwapua licha ya kutop up ndani ya muda.
Huu ni ukiritimba uliovuka mipaka, juzi juzi voda nao wefinya MB mpaka 1, HAIPENDEZI KABISA. Na hawa jamaa huwa wanafanya mabadiliko kwa kuambiana, Tujiandae na Tigo nao watabadili kitu si muda mrefu.