Natumia modem ya airtel model MF 190 tatizo inakuwa inakata sana hadi niondoe na kuconnect upya tatizo ni nini? na nifanyanye nini ili kuondokana na tatizo hili maana bundle hupotea kama nadownload chochote pindi inapo disconnect.

Mkuu sidhani kama tatizo ni modem
Nahisi tatizo ni eneo ulilopo inawezekana signal ni majanga
Kama vipi itoe lock uweze kuitumia kwa mtandao mingine voda na tigo na zantel
Link ya ku unlock www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/322487-unlock-modem-mpya-za-airtel-zte-mf190.html