Airtel mnatuibia!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel mnatuibia!!!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mohammed Shossi, Mar 20, 2011.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa nikipiga simu ya huduma kwa wateja tangu mwezi december mwaka jana kutoa malalamiko juu ya uduni wa huduma ya internet ya blackberry. Mara zote nimekuwa nikiahidiwa kuwa suala langu linashughulikiwa. Hapo awali ilipokuwa ikiitwa Zain huduma ya BIS ilikuwa ni nzuri na yenye speed, lakini switching on to airtel kumekuwa na malalmiko mengi na marafiki zangu na ndugu zangu wamekuwa kipata tatizo ninalolipata. Airtel wamekuwa wakinipigia kujaribu kutatua tatizo na nilifarijika nilipopokea message inayosema "Dear Customer,our internet and blackberry services are up.The Seacom problem has been resolved.Sorry for any inconveniences caused.Thank you" Ukweli ni kwamba hawa jamaa wanatuibia! Unapotoza mteja kwa huduma na ukawa hujampa huduma husika ni jukumu la mtoa huduma kumfidia mteja. Message ya kuwa tatizo limetatuliwa haisaidii kitu! Ni sawa na kumwambia mtu "bahati mbaya" huku kukiwa hakuna juhudi za kuzuia bahati mbaya nyingine kutokea. Swali kwanini Airtel watangaze wana huduma ya 3G lakini watuambie kuwa tufanye settings kwenye simu zetu tuweke 2G? Gharama tunayolipia inaenda sawa na huduma wanayotupatia? Kama si sawa kuna njia yoyote wanachukua kuweza kutufidia? Je sheria za mawasiliano zinasema nini kwenye hili? My take. Kwakuwa hatupati huduma tunayoilipia na tunatozwa kama tunapata huduma inavyotakiwa kutolewa basi tunaibiwa!
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Biashara siku hizi si kubembelezana wamekuboa hamia kwingine pesa yako yanini kupata taabu kuna zantel, voda, tigo, ttcl shida iko wapi bana hama tu wasikubabaishe hao zain aka airtel
   
 3. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Maneno yako ni kweli ila unakuwa usumbufu kwa watu wanaokomuniketi na na mimi. Nhaule lumbulyangu wajilila! Au milimo minjia?
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  umeanza kututenga sasa sijui hata ka mada itaendelea
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hakuna kutengwa unajua kuna maneno mengine lazima uandike kihome home ili mtu akuelewe changia basi mikatabafeki
   
 6. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu sina nia ya kukutenga mada ipo wazi unalipa nauli ya kwenda Arusha gari inafika chalinze ni jukumu la msafirishaji kukufidia maana mkataba wenu ni kukufikisha Arusha ila kwa topic yangu ni kuwa nauli hurudishiwi na Arusha hufiki! Hapo nilimjibu DA kinyumbani kuweka msisitizo wa majibu yake...
   
 7. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Siyo huduma ya blackberry tu ambayo inasumbua,sasa hivi hata sisi tunaotumia modem zao tunalia ile mbaya, maana wanaiba GB zetu a hawaturudishii ,kwa sasa mtandao wao umekuwa slow sana yaani kero tupu.
   
 8. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280

  ?!?!? ya wapi?
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mitandao ya tanzania hapa yote ni kero,ah!badala ya kuboresha huduma,wamekalia kufanya advertisements
   
 10. Lugovoy

  Lugovoy JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Sasa wandugu tukimbilie wapi,nchi hii kila kona ni uchakachuaji!!,modem za airtel aka zain kiukweli zinaboa sana!!
   
 11. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #11
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Wanasema ukitoa taarifa unafidiwa mimi nimetoa taarifa si chini ya miezi mitano nimewasilisha reference numbers nasubiri matokeo.......ila inavyoonyesha kama tatizo lipo na wanalitambua bila ya mteja kuripoti inakuwa imekula kwake huu ni utaratibu wa "kiutandawizi"
   
Loading...