Airtel mnatuibia vifurushi kwa kutupa fake bundle

Semahengere

JF-Expert Member
Nov 29, 2020
1,186
1,955
Habari wadau,

Kuna mchezo MCHAFU unachezwa na mtandao wa Airtel kila mtumia Airtel hapa JIJINI Arusha anakutana na changamoto hii
Ukininua bando wakishakutumia text kuwa umepatiwa kifurushi Cha Dak 130 na GB 1 na sms labda 30 kwa wiki moja, wanakusubiri uanze tu kutumia. Ukipiga simu moja tu ukiongea hata sekunde 40 alafu ukatuma hapo text 3 unatumiwa ujumbe kuwa kifurushi chako kimeisha.

Na kweli ukiangalia kila kitu kimeisha. Sasa ukiwauliza wanavyokuwa wakali, wanasema huku inaonyesha umeshatumia kifurushi chako kimeisha. Ukiwauliza kimeishaje, anasema kwa matumizi uliyotumia tunaomba tuongee na wateja wengine Asante.

Nilienda kuwauliza ofisini baada ya kunipiga bando la 10000. Mhudumu akiingia mtandaoni kucheki unamcheki tu usoni unaelewa kuna kitu kinachezwa huko. Mwisho anakuambia Kaka tatizo lako tutalishughulikia within 24 hours.

Mwisho unaona hakuna majibu unaweka lingine maisha yaendelee. Kuna mwingine kasema Serikali ndio inamiliki Airtel kwa sasa kwa hiyo tuilalamikie Serikali. Sasa kweli Serikali mnatupiga tozo na tumekubali tena mnatuibia na vifurushi kwa kutupa fake bundle tafadhali jamani Serikali.
 
Bila katiba mpya hayo yote ni kama kupiga kelele eneo la sokoni. Tulio waweka watusimamie watatumia hilo ikifika 2025 kutaka uchaguzi
 
this long weekend I decided to buy AIRTEL ROUTER, aiming to get their free offer of 40GB so that I may utilise them during the weekend to watch a series with 5 seasons recommended to me by a friend.MAAJABU Hata episode Moja haikumaliza. imagine kwenye standard definition bado buffering za kufa mtu, INGEKUWA 4K INGEKUWAJE?. I have thrown it in the dustbin.yaani ni uchafu kama uchafu mwingine.PALE HAKUNA 4G IT IS JUST UTAPELI.
 
Back
Top Bottom