Airtel mnanikera sana.

jaffari yogo

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
685
148
Kwa nini airtel inakera hivi? Ukitaka kujiunga na kifurushi uaambiwa ombi lako haliwezi kushugulikiwa kwa sasa. Yaani inakera sana sijui tatizo ni nini maana sio leo tu hata jana pia hivyo hivyo.
 
mimi line yao sina kazi nayo. watume mtu aje kuichukua. kwanza ilikua hakatwi mtu. walivyoanza ujinga hata rates zao ziko juu ya ile kampuni ya kihuni ya Roasti tamu
 
Kwa nini airtel inakera hivi? Ukitaka kujiunga na kifurushi uaambiwa ombi lako haliwezi kushugulikiwa kwa sasa. Yaani inakera sana sijui tatizo ni nini maana sio leo tu hata jana pia hivyo hivyo.

Tigo mpango mzima, piga *148*00# hii inaitwa namba ya maajabu utakuta ofa zote humu. Mkuu hukuzaliwa na airtel hama uwe na furaha ya mawasiliano kama mimi.
 
Kwa nini airtel
inakera hivi? Ukitaka kujiunga na kifurushi uaambiwa ombi lako haliwezi
kushugulikiwa kwa sasa. Yaani inakera sana sijui tatizo ni nini maana
sio leo tu hata jana pia hivyo hivyo.

Wanakera tena sana mimi jana nimenunua kifurushi cha wiki nzima chenye
sms, 40min airtime na 150mb sms ya kukonfirm ikaingia, cha ajabu kabla
hata sijaanza kutumia net nikaangalia salio nikakuta 0bytes.
I was so furious.
 
Wanakera tena sana mimi jana nimenunua kifurushi cha wiki nzima chenye
sms, 40min airtime na 150mb sms ya kukonfirm ikaingia, cha ajabu kabla
hata sijaanza kutumia net nikaangalia salio nikakuta 0bytes.
I was so furious.

Hilo la 0bytes lilinikumba na mimi jana hata sijui walizipeleka wapi ila dakika ndo waliacha. Yaani airtel imefikia hatua isiyo nzuri maana sasa wamekuwa kero sana.
 
Tatizo hilo limenikumba hata mimi,niliweka ya wiki,ghafla salio 0 mb,nikijaribu kujiunga upya inakataa na salio linakata baada ya mda mfupi hata kama hujapiga
 
Hata Mimi ilinipata lakini nilipoongea na Call Center yao wakanirudishia, seems its happen for some numbers
 
Jamani na mm limenipata nimejiunga na bando la mwezi la sh 10000 cha ajabu nimepata dk 200 na sms lkn 0byts mpk leo tunapozungumza cjarejeshewa mb zangu 500 mara wananiambia baada ya masaa matatu mpk kumekucha bado
 
Mimi nimejiunga kifurushi cha siku, lakini MB zinasoma 0bytes kuwapigia customer care wanadai nimetumia zimekwisha
 
Airtel wategemee anguko kubwa kama wanaendekeza upuuzi huu sielewi kama wanakunywa pombe na kuingia kazini wakiwa wamelewa mimi nimeingiza salio 2000 kwa lengo la kujiunga na kifurushi cha wiki sh. 1999 wananijibu salio halitoshi, kuangalia salio zimebaki 1300 nawauliza wanasema nimezitumia kwenywe internet wakati sijatumia HUU NI WIZI mimi ninawahama pamoja na kuwa nimewatajirisha miaka 14 leo baaaaasii
 
Airtel internet is Dead. Airtel internet is dead. Airtel Internet is dead. Hameni muache makelele, huu mtandao ndio basi tena usha expire
 
Nadhan management haiko vizuri wafanyakazi wanafanya tu wajioneavyo wao. Au motivation hakuna kwa hawa wafanyakazi ndo maana mambo hayaendi sawa airtel., kwanza kila kujicha wafanyakaz wapya. Sisi tunatumia service yao ya CUG kabla ya mwezi wanatakiwa kuleta involves lakini invoice hawaleti alafu wanakata service. Hii imetokea zaidi ya mala 3 mpaka sasa nimeshindwa kuwaelewa. Na pia wakikata ukiomba invoice wanakuletea invoice tofauti na unachopashwa kulipa. Hapa kuna tatizo kama si uongozi nina wasiwasi.
 
internet ndiyo majanga kabisa. haiwezi hata kudownload picha whatsapp
 
Back
Top Bottom