Hasira zako hazifikii za kwangu. Natamani nitupilie mbali SIM card yao. Yaani wiki zinakatika bila hata inernet ya GPRS!! Yaani upuuzi mtupu.
why mnatoa malalamiko humu? ni kama mke wako kakuudhi badala ya kumwambia unaenda bar kuongea. wafateni huko huko waliko wapigieni simu, watumieni habari kwa fb na kwenye tovuti zao ikiwezekana hata ofisini wafate. saa hizi hata hawajui kama wewe una tatizo feedback zitatoka wapi ili waimprove?
mkuu Airtel Kama huna kifurushi data haiwaki tofauti na Tigo na vodacom
upo mkoa gani mkuu?maana hata huku dodoma imesumbua siku ya tatu leo lakini inakuwepo 3G dakika chache halafu inarudi edge
mkuu Airtel Kama huna kifurushi data haiwaki tofauti na Tigo na vodacom
Tatizo wanatuwekea makarani na sio ma engineer. Unawaambia tatizo hawakupi majibu ya kuridhisha. Una wiki 3 hakuna internet wanakwambia vumilia itarudi tu. Huambiwi tatizo ni nini na kama linashughulikiwa au la. Mimi masuala ya internet siulizi tena kwa service provider nasubiri tu, labda kama sijui jinsi ya kununua vifurushi.why mnatoa malalamiko humu? ni kama mke wako kakuudhi badala ya kumwambia unaenda bar kuongea. wafateni huko huko waliko wapigieni simu, watumieni habari kwa fb na kwenye tovuti zao ikiwezekana hata ofisini wafate. saa hizi hata hawajui kama wewe una tatizo feedback zitatoka wapi ili waimprove?
Halafu ni wezi wakubwa,yaani wanatushawishi kwa kutupa vifurushi vya muda wa maongezi kwa bei chee halafu wanatukata kwa dakika.mf;ukipatiwa dk 25 kupiga mitandao yote jua kuwa utaongea dk 15 tu kifurushi kinaisha.yaani wao ukiongea kwa sec 28 wanakata dk 1.

Ni sawa,inawezekana masharti yanasema wanakata kwa dk,lkn ww huoni kuwa wanatuibia wateja wao?mbona tigo wanauza kwa dk lkn makato ni kwa sec?ulisoma terms and condition zikasema kuwa wanakata kwa sekunde?
Haiwezekani humu akakosekana wa kupeleka malalamiko yetu.yah hili ni kweli ila linachangiwa na wenyewe kuajiriana kindugu. ila vile vile kupost hapa haisaidii
Hasira zako hazifikii za kwangu. Natamani nitupilie mbali SIM card yao. Yaani wiki zinakatika bila hata inernet ya GPRS!! Yaani upuuzi mtupu.