Airtel, "Mgema akisifiwa tembo hulitia Maji"

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,522
24,010
Ni siku kadhaa tu nlitoka kusifia internet ya airtel. lakini ni kama sikuwa nimewajua vizuri sasa voucher zangu za virushi zimeliwa toka juzi jioni na muda Bundle yangu pia wameila . najaribu kuwatafuta kwa huduma ya wateja kumbe hata ukipiga 100 hakuna huduma ya moja kwa moja ya kuongea na wateja zaidi ya maelezo yao yale yale ya kila wakati.

hii inaonesha kuwa mnajitenga na wateja wenu. mnapaswa muwasikilize hata kama sometime wana wabore maana sijui kwa nini mmeamua kuondoa huduma ya kuongea moja kwa moja na wateja kwa simu.

kama ipo mmeiweka kwa namba gani? namba ambayo makampuni mengi ya simu yanapenda kutumia kwa ajili ya mawasiliano na wateja ya 100 ninyi hamuitumii ziadi ya kuwapa tu wateja maelezo.

badilikeni mtapoteza wateja kwa mambo madogo sana.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Back
Top Bottom