simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,694
- 9,580
Kuna tetesi kuwa baada ya kuelemewa sana, huenda Airtel ikajitoa kabisa kwenye huduma ya data na Internet hivyo kubaki kwenye voice tu.
Spidi ndogo ya mtandao huo kwa sasa, huwezi hata kuattach kafaili kadogo, inafanya wengine tukubali ndio wanaishia hivyo
Ha ha ha what a joke! Data ndio mpango mzima. Hata voice inaelekea kwenye mfumo wa data-viber na skype.