kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 268
wamekataaaaa nnAirtel tunashangaa mmebadilika ghafla kwenye vifurushi vyenu hata bila taarifa yeyote ni kwamba zamani mlikua mnatupa mb 400 kwa sh 2500 kwa kuandika neno internet kwenda namba 15444 ila kuanzia sasa huduma hiyo siipati kabisa na nikituma hiyo meseji inanigomea sasa sijui kunani?bora mngetutaarifu wateja wenu kwamba huduma hii mmeifunga au la mmebadilisha namba kwaajili ya kutoa huduma hiyo au mmeifuta kabisa kwani kwangu hiyo ndiyo huduma ambayo niliipenda na ilikua cheap sana kwa sisi wateja wenu hivyo tunaomba ufafanuzi juu ya suala hilo naomba kuwasilisha!
inafanya kazi siju tatizo lako ni nini...mbona mimi nimeweka sasa hivi inakubali? unaandika internet unatuma 15444...
inafanya kazi siju tatizo lako ni nini...mbona mimi nimeweka sasa hivi inakubali? unaandika internet unatuma 15444...
hata mimi nlishapatwa na tatizo kama lako, nilichofanya ni kununulia salio kwenye computer moja kwa mojaAisee mimi nikiweka inanigomea kabisa natuma hilo neno inakataa
hiyo huduma haitolewi tena kwa watumiaji wapya, Kama uliwahi kuitumia kabla ya January mwaka huu basi ukijiunga utaunganishwa ila kama ni mtumiaji mpya bofya *154*44# kupata huduma nyingine za vifurushi, So jibu hapo ni kwamba hutaweza kupata huduma hiyo kwa sababu namba yako haipo katika namba zilizoruhusiwa kupata huduma hiyo (Naongea kama Mhusika)
Na kwa sababu mmeiondoa na kwa kuwa mmesema sisi tunaoendelea kupata tupo kwa mkopo ambao unakaribia kuisha, basi punde tu mtakapositisha nitahamia Voda.
Kuhama ni uchaguzi wako. Lakini voda iko chini kihuduma kulinganisha na airtel kwa data package.
MImi nimeishia kukodolea mimacho hicho kifaa-avatar. Si mchezo. hebu nipelekee namba yake mkuuhiyo huduma haitolewi tena kwa watumiaji wapya, Kama uliwahi kuitumia kabla ya January mwaka huu basi ukijiunga utaunganishwa ila kama ni mtumiaji mpya bofya *154*44# kupata huduma nyingine za vifurushi, So jibu hapo ni kwamba hutaweza kupata huduma hiyo kwa sababu namba yako haipo katika namba zilizoruhusiwa kupata huduma hiyo (Naongea kama Mhusika)
Haya unasema wewe....mimi naangalia kwenye nafuu ya bei. Karibu mitandao yote speed na coverage inafanana tu hazipo 100% uhakika
Haya unasema wewe....mimi naangalia kwenye nafuu ya bei. Karibu mitandao yote speed na coverage inafanana tu hazipo 100% uhakika
Ni kweli. Airtel tunafuata hiyo 400mb tu. Otherwise data service ni very poor.
Nyakati ninazotumia Voda huwa poa, ile bei zao hovyo.
Tigo ndio jinamizi. sijui nani aliwadanganya kuwa nao wanaweza kutoa internet!