AIRTEL INTERNET FREE THE WHOLE DAY BY 500 Shs

babumufty

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2011
Posts
223
Reaction score
77
dah mazee mm ninatatizo hii airtel kwangu ina receive signal very slow i dont know y.hivyo wanaibana makusudi kwa hii bandle au vp.nina kua kama ctumii 3.75G hebu naombeni mawazo yenu kwa hili
 
hehehe pole sana mdau ila kumbuka kale kausemi chao "Vigezo na masharti kuzingatiwa" :-*
 
so unamaanisha

jitahidi ujue vigezo na masharti kabla ya kujiunga na huduma yeyote mkuu, inawezakana moja ya vipengele vya kupata 3.75G uiswepo kwenye bundle za bwerere kama hizo za jero unapeta siku nzima.

*ni mtazamo tu, haya mawazo tu :wink2:
 
dah mazee mm ninatatizo hii airtel kwangu ina receive signal very slow i dont know y.hivyo wanaibana makusudi kwa hii bandle au vp.nina kua kama ctumii 3.75G hebu naombeni mawazo yenu kwa hili

change bundle.. kuna la buku30 kwa mwezi kama unataka speed.....
 
Sh 500 kwa siku unapewa mb 50 tu. Mb 50 halafu pc yako hauja-turn off automatic updates zinachukuwa kama dk 10 tu mb 50 zimeisha. ZIKIISHA UNAACHIWA KUENDELEA KUPERUZI na siyo KU-DOWNLOAD kwa speed ya chini kuliko zote ili masaa 24 yaishe.

Unaweza kuishi kwa mb 50 kwa siku kwa masharti yafuatayo:
1. Turn off pc automatic updates
2. Turn off antivirus and firewall automatic updates
3. Usi-download chochote
4. Endelea kuperuzi tu hasa social networks sites.
5. Turn off background applications & programs

TOFAUTI NA HAPO, HAIWEZEKANI.
 
Lile bado Yetu ya 400MB kwa sh. 2500 bado lipo?
 
Jamaa waliona tunafaidi sana wakaamua kutukomoa: sasa ni 500MB kwa Tshs 3500 kwa siku 10 badala ya 30 za mwanzo!
Ila kuna jamaa ameniambia kuna 500MB kwa Tshs 4000/= kwa mwezi mmoja (30 days) kwa mtandao wa Zantel.
 
ni 6000 mkuu
 
Muulize Anajiungaje ?
 
Achana nao hamia Zantel uone jinsi mtandao una speeed ya ajabu, kwa ujinga wako utabaki huko
 
imeanza kuwa slow siku chache zilizo pita,lakini kabla ya hapo speed ilikua bomba tu sasa sielewi ni tatizo la kiufundi au vipi.Halafu kwenye msg wanasema ni mb 50 tu ila mimi nilikua natumia zaidi ya hapo....nilikua nadownload mpaka movie za 1 GB.
 
Jamaa waliona tunafaidi sana wakaamua kutukomoa: sasa ni 500MB kwa Tshs 3500 kwa siku 10 badala ya 30 za mwanzo!
Ila kuna jamaa ameniambia kuna 500MB kwa Tshs 4000/= kwa mwezi mmoja (30 days) kwa mtandao wa Zantel.

Zantel kimeo
 
Back
Top Bottom