Airtel internet configuration za ipad

Airtel internet configuration za ipad

THE RIGHT

Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
57
Reaction score
3
naomba msaada kuhusu namna ya kufanya configuration za internet kwenye i-pad yangu ambayo inatumia line kama simu, ninatumia mtandao wa airtel nimesha jaribu kuomba setting kwa kutuma neno all kwenda 232 lakini hakuna kinacho badilika.

I hope kwa hapa nitapata msaada kamili kwa tatizo langu. Nawatakia wote 88 njema na id njema.
 
Settings then network add apn airtel tanzania next line internet thats all
 
Settings then network add apn airtel tanzania next line internet thats all
tanks for your help! kwa sasa inapiga kazi vizuri sana bila shaka. kweli hapa jamii forum ndo penyewe.
 
Settings then network add apn airtel tanzania next line internet thats all

Vipi kuhusu voda kuna setting zozote naweza kutumia kwenye simu ya samsung galaxy note,maana net yake ipo slow sana

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom