Mpk internet ipo slow ile mbaya. Nilijuta siku nimeunga kifurushi cha internet na upload file la 140mb. Nilitumia masaa 3Sijui kama ni mimi au watu wengi. Airtel pamoja na huduma za Airtel Money hazipatikani muda huu.
Kwangu pia,Sijui kama ni mimi au watu wengi. Airtel pamoja na huduma za Airtel Money hazipatikani muda huu.
Si airtel money tu hata internet toka jana inasumbua sumbua sometimesSijui kama ni mimi au watu wengi. Airtel pamoja na huduma za Airtel Money hazipatikani muda huu.